Jumanne, 5 Mei 2015

nafasi za kazi MBE House Clean


                                                          Maharuki Business Enterprises
ninafasi yako kijana waki tanzania kupitia MBE House Clean kwa wale waliyo pitia vyuo mbali mbali hapa nchini vinavyo jihusisha na usafi majumbani, makazini, viwandani hapa kwa wale wenye fani ya utunzaji mauwa na uzalishaji mauwa ninafasi yako kwa maelezo na utumaji maombi tufuate

MAHARUKI BUSINESS ENTERPRISES
P.o Box 
Dar Es Salaam
Tanzania

TEL:+255 717 010 028
       +255 777 010 028
       +255 767 013 028
Fb: maharuki mbehouse
E mail: maharuki.b.e@gmail.com 
Blog: www.maharuki.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni