Ijumaa, 4 Machi 2016

TUNZA MAZINGIRA


NILIPI LENGO NDANI YA TANZANIA

Niki tazama nijinsi gani jamii ikishindwa kupata jibu na maamuzi juu ya afya za watoto 
hata kwa wakubwa pia kwani bila ya kujiuliza halita wezekana kulipata jibu.
tuna waona watoto wakicheza na kutafuta mahitaji ndani ya mazingira hatarishi ndani ya nchi,mkoa,wilaya hata mazingira tunayo ishi kwakukosa ufahamu,umakini hata kwaufinyu wa upatikanaji wa mahitaji yao 



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni