Jumamosi, 30 Aprili 2016

ijue thamani ya nyumba yako


Nyumba safi


Nime weza kutembelea nyumba nyingi hapa jijini Dar ila ni nyumba chache zinazo zingatia usafi kwa kiwango kinacho hitajika na wingi wa nyumba hizI zisizo zingatia ubora wa usafi wamejikuta wakilaumu ima vifaa wanavyo tumia kusafishia hata madawa wanayo tumia kumbe walipaswa kuzingatia hitaji la madawa husika kwa matumizi husika

Tupo kwaajili yako kuhakikisha tunatunatunza thamani ya pesa zako

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni